iqna

IQNA

Qurani Tukufu.
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 7 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478536    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/18

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la 7 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu na Ibtihal ya Port Said nchini Misri yalihitimishwa katika sherehe siku ya Jumanne. Washindi katika kategoria tofauti walitajwa na kutunukiwa katika hafla ya kufunga, tovuti ya Youm7 iliripoti.
Habari ID: 3478320    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/07

IQNA - Katika qiraa yake ya hivi punde zaidi, qari wa Iran Qassem Moqaddami alisoma aya kutoka kwenye Surah An-Nur ya Qur'ani Tukufu. Alifanya kisomo hicho katika programu ya Qur'ani iliyoandaliwa katika mji mtakatifu wa Qom Jumapili, Januari 7, na Taasisi ya Karimeh Al Rasoul.
Habari ID: 3478180    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/10

Harakati za Qur'ani
Mkuu wa Kituo cha Dar-ul-Quran na Sunnah cha Gaza huko Palestina amesema zaidi ya wahifadhi 1,000 wa Qur'ani Tukufu wanatarajiwa kuhitimu kutoka kituo hicho mwishoni mwa majira ya kiangazi.
Habari ID: 3477117    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/08

TEHRAN (IQNA) Hisham Barzeq ni Mpalestina mwenye umri wa miaka 68 ambaye ana chumba kidogo katika moja ya misikiti huko Gaza.
Habari ID: 3477096    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/04

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Abdul Rashid ni mhubiri maarufu kaika Kituo cha Waislamu cha As-Siddiq mjini New York ambaye hotuba zake huwa na mvuto kutokana na mbinu yake ya kusoma aya za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474507    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/03